Kuna Mtu

 

Based on a prayer by the Báb

C | G | Am | Em
||: Kuna mtu awezaye kuondoa shida

F | G | C
isipokuwa Mwenyezi Mungu? :||

F | C | G | C
Sema: Mwenyezi Mungu na asifiwe! Yeye ni mwenyezi Mungu!

F | C | G | C
Wote ni watumishi Wake, na wote wanaishi kwa mapenzi Yake!

G | C
Na wote wanaishi kwa mapenzi Yake!

Language: Swahili

Composer Unkown

Download PDF